iqna

IQNA

walowezi wa kizayuni
IQNA - Idara ya Waqfu ya Kiislamu huko al-Quds (Jerusalem) imesema kumeshuhudiwa ongezeko la idadi ya walowezi wa Kizayuni waliouhujumu Msikiti wa Al-Aqsa mwaka jana.
Habari ID: 3478133    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/02

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Mufti Mkuu wa al-Quds (Jerusalem) na Palestina amelaani kitendo cha hivi karibuni cha walowezi wa Kizayuni cha kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu katika Ukingo wa Magharibi wa Mji wa Al-Khalil (Hebron).
Habari ID: 3477871    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/10

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International linasema walowezi wa Kizayuni wanaotenda jinai dhidi ya Wapalestina hawaadhibiwi katika mfumo unaotawala Israel wa ubaguzi wa rangi.
Habari ID: 3476682    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/09

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Kundi la walowezi wa Kizayuni wameshambulia msikiti katika Mji Mkongwe wa Al-Khalil (Hebron), wakirusha mawe kwenye sehemu hiyo ya ibada ya Waislamu.
Habari ID: 3476591    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/20

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Mwanaume wa Kipalestina ameuawa shahidi na walowezi Wazayuni Waisraeli siku ya Jumamosi katika eneo la Palestina la Ukingo wa Magharibi linalokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
Habari ID: 3476553    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/12

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Utawala ghasibu wa Israel unaripotiwa kupanga kujenga nyumba 18,000 zaidi vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokoloniwa na utawala huo huko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3476462    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/25

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Shirika la Kiislamu linalosimamia masuala ya Msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) linasema kwamba idadi kubwa ya walowezi wa Kizayuni wa Israel walivamia eneo hilo takatifu la Kiislamu mwaka 2022.
Habari ID: 3476331    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/30

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Kundi la walowezi wa Kizayuni wenye misimamo mikali walivamia Msikiti wa Al-Aqsa huko mjini Al Quds (Jerusalem) wakiwa wametekeleza hujuma hiyo Jumapili asubuhi.
Habari ID: 3476158    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/27

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Walowezi wa Kizayuni wameshambulia misikiti miwili na kuvunja madirisha wakati wa shambulio katika kitongoji cha Bab al-Zawiya katika mji unaokaliwa wa Al-Khalil (Hebron) unaokaliwa kwa mabavu na Israel katika Ukingo wa Magharibi.
Habari ID: 3476121    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/20

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al Azhar cha nchini Misri kimelaani kile ilichokitaja kuwa ugaidi za Kizayuni, baada ya Walowezi wa Kiyahudi kuchoma moto Qur'ani Tukufu katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3475912    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/11

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Harakati ya Al-Aqsa ya Indonesia iimelaani vikalia hatua ya hivi karibuni ya walowezi wa Kizayuni wa Israel kusherehekea mwaka mpya wa Kiyahudi katika Msikiti wa Al-Aqsa huko al-Quds (Jerusalem) na Msikiti wa Ibrahimi huko Al-Khalil (Hebron).
Habari ID: 3475855    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/29

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Chama kikubwa zaidi nchini Jordan kimeonya kuhusu ongezeko la walowezi wa Kizayuni Waisraeli ambao wanatekeleza hujuma za kichochezi dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa huko al-Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3475824    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/22

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) -Walowezi wa Kizayuni wakiwa wanalindwa na askari wengi wa utawala haramu wa Israel walivamia uwanja wa Msikiti wa Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) siku ya Jumapili, na kufanya ibada za kichochezi za Kiyahudi katika eneo hilo takatifu la Kiislamu
Habari ID: 3475808    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/19

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani vikali kuendelea kupasishwa mipango ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kkwa mabavu za Palestina.
Habari ID: 3475640    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/18

Walowezi wa Kizayuni
TEHRAN (IQNA) – Mtoto wa Kipalestina alifariki dunia masaa mawili baada ya kupigwa risasi na walowezi wa utawala wa Kizayuni wa Israel waliokuwa na silaha siku ya Ijumaa karibu na kijiji cha Al-Mughayer, karibu na Ramallah katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3475558    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/30

TEHRAN (IQNA)-Utawala wa Kizayuni wa Israel umezindua mpango haramu wa kujenga nyumba mpya zipatazo elfu nne katika eneo la Ukingo wa Magharibi, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3475219    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/07

TEHRAN (IQNA)- Walowezi wa Kizayuni watenda jinai wameng'oa miembe 400 ya Wapalestina katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel katika Ukingo wa Magharibu wa Mto Jordan.
Habari ID: 3474838    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/22

TEHRAN (IQNA)- Utawala haramu wa Israel umeidhinisha ujenzi haramu wa nyumba 3000 za walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina zilizoghusubiwa na kukoloniwa na utawala huo katika mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem)
Habari ID: 3474597    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/25

TEHRAN (IQNA)- Walowezi za Kizayuni wameendeleza hujuma zao dhidi ya msikiti wa Al Aqsa katika mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3474499    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/01

TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Ulaya (EU) umekariri wito wake kwa utawala haramu wa Israel usitishe mpango wake wa kujenga vitongoji zaidi vya walowezi wa Kizayuni katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3474486    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/29